WEBSITES AMBAZO ZINAWEZA KUKUINGIZIA KIPATO

 PICOWORKERS

Ni website ambayo unaweza kulipwa kwa kufanya kazi ndogondogo kama vile kudownload app za simu,kucreat email, kutizama video youtube, kusign kwenye app/web n.k

HONEYGAIN

Hii ni app ambayo unaweza kuinstall kwenye simu yako au laptop yako kisha itakuwa inatumia mb zako na utakuwa unalipwa kuendana na kiwango cha mb kilichotumiwa na app hii. (ni nzuri kwa wenye free wifi). ukijiunga kupitia hapa utapewa bonus ya $5

REMOTASK

Hii ni website ambayo inakuwezesha kufanya kazi mbalimbali inazopokea kutoka kwenye kampuni binafsi za kuendesha gari na maroboti miongni mwa wateja wao ni ,Uber, Google Alphabet, Procter na Gusto. ukishajiunga katika remotask kwanza unafundishwa kisha ndo unapewa kazi na kila kazi ukiifanya kwa ufasaha ndipo malipo yako yanakuwa mazuri.

AIRTM

Hii ni website ya kulipa na kupokea pesa mtandaoni vilevile inakuwezesha kubadilisha hela ya kawaida kwenda kwenye digital assets mtumiaji wa airtm anaweza kuweka na kutoa pesa vilevile unaweza kuitumia kama njia yakupokea pesa/malipo yako kutoka remotask kwa sababu njia hii kutoa pesa Tanzania ni Rahisi kuliko Paypal.

PI

Hii ni cyptocurrency mpya ambayo sasahivi haijawa rasmi imeanzishwa na watu wawili mmoja kutoka Stanford PHDs na mwingine Standford MBA hivyo unaweza kuimine kupitia simu yako na kuanza kuikusanya na kuihifadhi mpaka pale itakapokuwa na thamani ila hakuna ambae ana uhakika kama itafanikiwa au haitofanikiwa kwa hiyo watu wanaweka kama hakiba tu mpaka pale endapo itafanikiwa na kuwa na thamani.
BOFYA HAPA KUJIUNGA (kisha tumia Amiiduly kama invitation code yako)

COINTIPLY

Hii ni Website/app ambayo unaweza kupata bitcoin au Dogecoin kupitia njia mbalimbali kama vile kubonyeza matangazo,kufanya survey,kutizama video,kudownload apps,na njia nyengine kibao mpaka ukichat kwenye hii website unalipwa pia.